Breaking News
recent

Ronaldo kinara wachezaji 10 wanaolipwa zaidi duniani

 

Kuanzia asubuhi ya leo habari kubwa mitandaoni ni kuhusu wachezaji 10 wanaolipwa zaidi duniani kwa kuangazia mikataba yao kwenye timu zao inayojumuisha mishahara lakini pia miakataba na makampuni mbalimbali (Endorsement)

Katika orodha hiyo ambayo imejumuisha wachezaji 10 mchezaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo amekuwa kinara wa wenzake.



Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.