Kama umeshaiona video ya Masogange ya Belle 9, tunaamini unamfahamu msichana mrembo aliyemo
humo. Jina lake ni Agness na ni miongoni mwa ma video girls wakali zaidi Bongo.
Kuna
picha nyingine anaonekana akikiss na boyfriend wake.
Chanzo cha kuvuja kwa video hiyo anasema ni kuwa digital
camera yake ilipotea ndani mwake wakati yeye akiwa nje ya nchi. Anamshutumu
Sintah kuwa yeye ndo aliisambaza.
Akiongea na chombo cha habari fulani hivi karibuni Agness amesema hajafurahishwa
na kitendo cha kuanikwa hadharani na Sintah na alipanga kuchukua hatua lakini washauri
wake wamemsihi asifanye hivyo zaidi ya kumwachia tu Mungu.
No comments:
Post a Comment