Ni track mpya kutoka kwa Godzilla a.k.a Kingzilla aliyomshirikisha mshindi wa EBSS Epiq Bongo Star Search mwaka 2012 Walter Chilambo inatokwenda kwa jina la "Thanks God",also ngoma hii imetengenezwa na Matco Chali ndani ya MJ records. Chukua dakika zako kadhaa kuisikiliza ama kuidownload hapa..........

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment