Rapper Hamidu Salim Chambuso a.k.a Nyandu Tozi ameachia ngoma yake mpya aliyoipa jina la "Kwa Mafans" na ndani ya joint hiyo amrwashirikisha Young D, Young Killer na Belle9. Imetayarishwa katika studio ya Classic sound chini ya Mona Gangster. Pata nafasi ya kuisikiliza ama kuidownload hapa..........

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment