Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amezidi kuongeza tattoo zaidi
kwenye mwili wake na unaweza kusema mwili wake wote kwa sasa umejaa
tattoo.
Katika hii picha mpya aliyoweka IG wiki hii, hutoamini JB amekuwa
mtu wa tattoo mwili mzima kama wasanii maRapa Wiz Khalifa, Kid Ink, Lil
Wayne, Young thug au YG

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment