Breaking News
recent

Jay-Z na Rihanna kutumbuiza sherehe za ufungaji wa Paralympics (London 2012)

Jay Z, Rihanna na kundi la Coldplay watatumbuiza kwenye sherehe za kufungwa kwa olimpiki ya watu wenye ulemavu jumapili ijayo 09/09/2012 jijini london Uingereza.

Gazeti la Daily Mirror linasema kuwa kiongozi wa Coldplay Chris Martin ndiye aliyemshawishi Jay Z kushiriki.

Vyanzo vinasema show hiyo inategemea kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa wanamuziki hao na kwamba sherehe hizo za ufungaji za Paralympic zitafana kuliko miaka ya nyuma.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.