Hivi karibuni Irene Uwoya alisema kwamba anamipango ya kuacha bongo
movie lakini hakuweza kutoa sababu zinazomsababisha yeye kuacha tasinia
hiyo ya bongo movie.
Mwanadada huyo amerudi tena kwenye headlines kwa
kuonyesha tattoo yake aliyojichora mgongoni.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment