Washiriki wa Big Brother Naija msimu wa sita (6) wawekwa wazi na mashindano hayo tayari yameshaanza.
Katika msimu huu kuna washiriki 22 ikiwa na wanaume 11 pamoja na wanawake 11 na mshindi ataweza kuondoka na kiasi cha Naira Milioni 90 sawasawa na Shillingi Milioni Mia 5 za Kitanzania.
Washiriki wa mashindano hayo ni kama ifuatavyo!
Imeandikwa na Mohamed Jaku
No comments:
Post a Comment