Staa wa mitandao ya kijamii, Mama mtoto wa msanii wa HipHop na Mbunge wa Mbeya Mjini #Sugu ambaye kwa sasa ni Ex wake Faiza Ally amekuwa gumzo mtandaoni baada ya kuweka picha yake aliyopigwa akiwa anajifungua mtoto wake wa pili.
Picha hii ilipigwa akiwa leba.
No comments:
Post a Comment