Picha hii imekuwa miongoni mwa ushahidi mkubwa kuwa msanii wa muziki Dogo Janja na msanii wa filamu Irene Uwoya ni mtu na Mke wake.
Ikiwa bado kuna watu wanamashaka na jambo hili, wakidai ni video au
filamu mpya ya Irene au staa mwingine wa filamu, mpaka sasa
walichoonyesha jamii ni kuwa Dogo Janja na Irene ni mtu na mpenzi wake.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment