Breaking News
recent

Mwigizaji wa kike aliyekiri kuanza kujichua akiwa mtoto

Mwigizaji maarufu wa kike kutka Hollywood Gabrielle Union amesema alianza kufanya mchezo wa kujiridhisha mwenyewe kimapenzi (Kujichua) akiwa na umri wa miaka Mitano.
Gabrielle Union amesema kwenye Interview ‘Nikiwa na umri wa miaka mitano Nilikuwa nikiwalalia na kujizungusha na madoli wangu na kujisikia vizuri nikifanya hivyo’
Gabrielle ambaye ni mke wa staa wa NBA, Dwayne Wade yupo njiani akitangaza kitabu chak kipya ‘We’re Going to need more Wine’ ambacho pia kimezungumzia zaidi matatizo mengi aliyopitia ya kuharibika kwa Mimba, ambapo mpaka sasa zimeharibika mimba 9.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.