Label ya Sony Music Africa, imemtunuku tuzo Alikiba baada ya video ya
wimbo wake Aje kufikisha views milioni 5 kwenye mtandao wa Youtube.
Amepewa tuzo hiyo Ijumaa hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye makao makuu ya Sony Music Africa.
“What an incredible start to 2017! One month in and we’ve had the honour
of presenting @officialalikiba an award for 5 million views of #AJE! it was awesome having you with us today
#KingKiba fans, #AJERemix is out today! Go watch the official music
video on the AlikibaVEVO @youtube channel,” wameandika Sony kwenye
Instagram.
Alikiba anajipanga kuanza ziara yake ya kwanza nchini humo.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment