Breaking News
recent

Tiwa Savage afanya kolabo na Awilo Longoma

Diva wa muziki wa Nigeria, Tiwa Savage ameamua mwaka 2017 kufanya kolabo na wasanii wakongwe kwenye muziki.
 Hitmaker huyo wa Rewind, amethibitisha kuja na kolabo yake aliyomshirikisha msanii wa muziki wa dansi kutoka Congo, Awilo Longomba.
 Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha kadhaa akiwa studio na Awilo, “Coming soon @awilolongomba such a honor #Hello’17,” ameandika kwenye picha moja aliyoiweka katika mtandao huo.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.