Baba mzazi wa mwigizaji mkubwa duniani Will Smith bwana Willard Carroll Smith Sr. amefariki dunia. Taarifa hizi zimetolewa na aliyekuwa mke wake Sheree Fletcher, kupitia Instagram November 7.
Fletcher, 48, aliweka picha instagram ya Will Smith na Baba Yake
mzazi. Baba yake Will Smith alikuwa akiishi mjini Philadelphia na
alikuwa fundi maarufu wa majokofu.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment