Tuzo za MAMA 2016 ‘MTV Africa Music Awards‘ zilizofanyika usiku wa October 22, 2016, kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome mjini
Johannesburg, South Africa zimetoa orodha ya washindi wa kazi bora za
muziki Afrika na kimataifa huku nchi kama Nigeria ikichukua tuzo tano
kubwa.
Orodha ya washindi hii hapa.
Best Live Act – Cassper Nyovest (South Africa)
Best Lusophone –C4 Pedro (Angola)
Legend Award –Hugh Masekela (South Africa)
Best Female Award – Yemi Alade (Nigeria)
Best Francophone Award – Serge Beynaud (Ivory Coast)
Best Group – Sauti Sol (Kenya)
Best Pop & Alternative – Kyle Deutsch& Shekhinah (South Africa)
Best International Act – Drake (United State of America)
Best Male Act – Wizkid (Nigeria)
Listeners Choice – Jah Prayzah (Zimbabwe)
Video of the Year – Youssoupha Niguer Ma Vie (Congo)
Best Collaboration – DJ Maphorisa ft, Wizkid & DJ Bucks (South Africa & Nigeria)
Personality of the Year– Caster Semenya (South Africa)
Best Hip Hop – Emtee (South Africa)
Best New Act – Tekno (Nigeria)
Song of the Year – Patoranking ft, Wande Coal (Nigeria)
Artiste of the Year – Wizkid (Nigeria)
Bongo Forest
Entertainment
Orodha kamili ya washindi wa tuzo za MTVMAMA 2016 ‘MTV Africa Music Awards’.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment