Hawa ni mastaa wa Afrika wenye Followers wengi zaidi Instagram, orodha
hii imeongozwa na Mnigeria Davido, akifuatiwa na Mtanzania Diamond
Platnumz
1. Davido Milioni 2.9
2. Diamond Platnumz Milioni 2.7
3. Wizkid Milioni 2.5
4. Don Jazzy Milioni 2.2
5. Tiwa Savage Milioni 2.2
6. Vanessa Mdee Milioni 1.8
7. Alikiba Milioni 1.4
8. Yemi Alade Milioni 1.2
No comments:
Post a Comment