Mwigizaji mkongwe Will Smith ametoa sababu za kukata kuigiza filamu ya muongozaji mkubwa Marekani Quentin Tarantino ‘Django Unchained’.
Will Smith anasema “ Nilitaka
kutengeneza filamu kali sana ya mapenzi ambayo Marekani haijawahi kuona
ila sikuelewana na muongozaji kutokana na mambo yaliyowekwa kwenye
filamu hio ” .
Will Smith anasema ” Filamu iliandaliwa
vizuri sana ila sikupenda mambo ya fujo,kupigana na mauwaji kwenye
filamu hio, sipendi mambo ya mauwaji na vita kwenye filamu, hata unaona
kilichotokea Ufarasa hivi karibuni “.
Willalimalizia kwa kusema “alitaka ilwe filamu ya mapenzi, ya kijana anayepigania penzi lake na sio mauwaji na visasi” .
Bongo Forest
News
Will Smith atoa sababu za kupiga chini dili la kuigiza Django Unchained,filamu ilikosewa nini..

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment