Mwana FA na Hermy B wakikutana hawajawahi kumiss zaidi ya kuhit.
Unazikumbuka "Habari ndio Hiyo", "Bado Nipo Nipo", "Naongea na wewe", "Msiache kuongea", "Naona Nazeeka sasa" na "Nangoja Ageuke?" Hizi zote zilipigwa na Hermy B ndani ya studio ya B'Hitz na sasa wawili hao wanakuletea "Asanteni kwa Kuja"
FA ambaye alikuwa kimya tangu aachie 'Kiboko yangu' aliyomshirikisha Alikiba, anavunja ukimya kwa ngoma hiyo yenye kila dalili ya kuja kuwa ngoma gumzo kama ngoma zake nyingine. Hermy B ameungana na Pancho kutebgeneza ngoma hiyo.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment