Breaking News
recent

Godwin ya Korede Bello ndio nyimbo iliyopendwa zaidi Nigeria 2015.

Wimbo wa Korede Bello ‘GodWin’ umetajwa na mtandao wa Pulse Nigeria kuwa ndio wimbo mkubwa zaidi na wenye mafanikio zaidi Nigeria mwaka 2015.

Wimbo huu umekuwa mkubwa Nigeria na Africa sababu unamlenga mwananchi wa daraja la chini kabisa,yule anaye mtegemea Mungu kwenye kila jambo na hana aibu ya kuonyesha kuwa mafanikio na maisha yake yanaendeshwa na nguvu za Mungu.
Kila unachofanya kama kimefanikiwa basi GodWin. 

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.