Breaking News
recent

Picha,Tinashe kwenye kava la jarida la DAZED,azungumzia kuwa role model kwa wasichana wenzake.

Rnb super staa Tinashe ameng’arisha kurasa ya mbele ya jarida la Uingereza la mitindo la Dazed. Baadhi ya mambo aliyoongelea Tinashe kwenye jarida hilo ni pamoja na kuwa Role Model mzuri kwa vijana.

Tinashe anasema “Sio lazima iwe muangalifu sana kwenye maamuzi yangu ya maisha ili niwafurahishe watu ila naamini naweza kushawishi wasichana wengi wapende kuwa huru, kufanya maamuzi yao wenyewe, jinsi ya kufanikisha ndoto zao na malengo na sio kukaa na kusubiri kuolewa tu,  kusaidia wanawake wajenge na kufikisha ndoto zao ”



Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.