Msanii kutoka Uganda aliyesema angependa
kufanya kazi na rapper Izzo Bizness, Leo November 20 2014 atakamilisha
mpango huo baada ya wawili hawa kukutana na kukubaliana kuwa kazi hio
inaweza kufanyika.Wimbo utafanywa na Master Jay.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment