Boyfriend wa muimbaji wa Uganda Desire Luzinda, Franklyn Emuobor amevujisha picha za utupu za mrembo huyo.
Raia huyo wa Nigeria amesema amevujisha picha hizo kwa sababu amechoshwa na tabia za uchepukaji za muimbaji huyo maarufu ambae ameshutumiwa kutembea na wanaume kibao.
Tayari mrembo huyo amejitoa kwenye facebook.
Jina la Desire Luzinda limetrend kwenye mtandao wa twitter kutokana na picha hizo huku watu wakiigiza pozi la kwenye picha hiyo.
Bongo Forest
Skendo
Picha: Boyfriend wa muimbaji wa Uganda Desire Luzinda avujisha picha zake za utupu (18+)

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment