Mwandishi wa habari wa Arusha255 ametoa ripoti
fupi kwamba majambazi waliingia kwenye duka moja la kubadilishia fedha
Clock tower karibu na house of wine Arusha mjini ambapo kifo cha huyu
ndugu kilitokana na yeye kupiga kelele baada ya kuona majambazi hao
wakitenda uhalifu.
Japo inasubiriwa ripoti kamili ya Polisi leo, taarifa za mwanzo
zinasema Marehemu alipiga kelele hizo muda mfupi tu baada ya kutoka
kanisani na akawa anasubiri watoto wake kwenye eneo la tukio ila
alipoona dada ndani ya duka kavamiwa ndio akaanza kupiga kelele za
kuomba msaada.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment