Ilifikia wakati wasanii wachanga wanaingia studio kufanya wimbo kwa
sauti na miondoka ya Ali Kiba kama ishara ya kumiss kazi za star huyu wa
Bongo Fleva, Kupitia Instagram ya Tunda Man, shabiki unafahamishwa kuwa
Wimbo mkubwa utakaoteka radio na Tv hivi karibuni ni wa Ali kiba ft
Fallyipupa.
Bongo Forest
Alikiba
Picha na Info, Ali Kiba tayari kuteka Mashabiki na Rekodi Aliyofanya na Fally Ipupa

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment