Ameshinda mabambano mengi ya uzito na division tofauti duniani na mwaka 2013 alitajwa miongoni mwa wanamichezo wanaotengeneza pesa nyingi zaidi kwa kuingiza dola za Kimarekani milioni 147 kwa mwaka.
Kampuni inayofuatilia magari na
wamiliki wake wamepiga picha za magari anayomiliki Floyd Mayweather
ikiwemo ya mwaka 1996 Mercedes-Benz S600.
Kutokea kushoto hio ni Rolls
Royces na Bentleys, Bugatti Veyron yenye thamani ya dola milioni moja,
Ferrari 458 Spyder, Lamborghini Aventador, Ferrari 599 na kwa mbele ni
S600. Powered By www.mohamedjaku.blogspot.com
Asanteni kwa kutembelea mohamedjaku.blogspot.com, kwa Habari na Exclusive Story za
Burudani ,Michezo, Maisha na Siasa Muda wowote mohamedjaku.blogspot.com – Asante kwa kunifuatilia facebook.com @Mohamed Jaku |Twitter @Muddybway | Instagram.com @jaku_santanah
No comments:
Post a Comment