Kale ka mchezo ka watu kuvujisha nyimbo za wasanii kwenye mitandao tena
zikiwa hazijakamika kamemkuta tena Msanii Diamond Platnumz.
Wimbo wa Diamond unaoitwa Kitorondo umevuja na kusambaa kwa kasi kupitia blogs mbali mbali pamoja na mitandao ya kijamii. hiki ndicho alichokisema

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment