Rihanna na Drake hawatengani kama kumbikumbi kwa sasa na inasemekana
kuwa Rihanna anataka kumshawishi rapper huyo watafute nyumba ya kuishi
pamoja.
Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa HollywoodLife.com: ” Angependa
pengine siku moja kuona kama wanaweza kuishi pamoja. Lakini Rihanna
hataki kulazimisha chochote.” Wapenzi hao wameshajadili suala hilo
lakini hawajaamua kama wako tayari kuupeleka uhusiano wao kwenye level
nyingine.
Wawili hao mwanzoni walikuwa wamepanga kuwa na uhusiano wa kawaida tu lakini sasa wameonesha kupendana zaidi.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment