Nadhani ulipata muda wa kuyaangalia magari ya kifahari wanayomiliki
wasanii wa bongo , sasa ni zamu ya judge wa Tusker Project Fame na
Producer hatari hapa bongo kutoka B’Hits namaanisha Hermes Baraka au
Hermy B kukuonyesha magari ya kifahari anayomiliki.
Hermy B anamiliki Toyota LandCruiser VX, Range Rover Sport, Nissan Murano and BMW 3-Series.Duh! noma sana aisee
No comments:
Post a Comment