Breaking News
recent

Picha, Hii Tattoo Nyingine Imeongezeka Kwenye Mwili wa Msanii Jux



Msanii wa Rnb mwenye wimbo unaofanya vizuri kwenye radio kwa sasa ‘Nitasubiri’ ameongeza asilimia ya wino wa tattoo kwenye mwili wake tena, Hii picha ilionekana kwenye instagram yake ikiwa na haya maneno.
“PASSION new tatoo #music #passion #love # africanboy”


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.