Ni baada ya Chelsea FC kutinga nusu fainali ya champions league baada ya kuitandika club kutoka ufaransa PSG kwa magoli 2-0 na aggregate ya 3-3 kwahiyo kupita kwa goli la ugenini lililofungwa na Eden Hazard kwa njia ya penalti huko jijini Paris wiki mbili zilizopita. Hebu angalia picha hizo hapa...
Na hii ni ya mda kidogo
No comments:
Post a Comment