Msanii aliyewahi kuwa mwimbaji wa bendi ya TID, The Top Band ambaye kwa
sasa anamiliki band yake ametoa official logo ya Kampuni na brand yake
ya PKP. Omari Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz atawakilishwa na logo hii
kwenye kazi zake tofauti kama matamasha ya muziki, mavazi na wasanii wa
PKP.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment