Rappa mashuhuri aliyetamba sana na ngoma yake ya ‘Play Boy’
anayejulikana kwa jina la Nkki Mbishi ambaye hivi karibuni aliachia
ngoma iitwayo ‘Utamwambia Nani’ambayo inafanya vizuri mpaka sasa.
Nikki Mbishi aliongea na chombo flani cha habari na kusema “kwa sasa sijatarajia kutoa
ngoma yeyote ile ila natarajia kuingia tena studio hivi karibuni na
tamko rasmi nitalitoa mwezi ujao kuhusu nini kinaendelea,kwa muda huu
siwezi kusema chochote kuhusu ngoma hiyo.” alisema Nikki Mbishi
Hata hivyo rappa huyo hakuweza kuongea mengi zaidi kwa sababu
anapika mangoma kibao kwa ajili ya kuwapa ma-fans wake burudani kwenda
mbele.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment