Kama wengi wanavyojua kwamba kutumia simu au vifaa vingine vya
electronics ni mwiko kutumika kwenye ndege, sasa kampuni ya Virgin
Airlines imeanza kuruhusu utumiaji wa simu kwanzia unapoanza safari hadi
unapotua.
Kampuni ya Virgin imekuwa ndege ya kwanza huko Marekani kuruhusu matumuzi ya simu au tablet kwenye ndege.
Baada ya FAA kusema kwamba mawimbi ya simu hayana madhara yoyote pale
ndege zinapoaanza kupaa na kutua imepelekea makampuni mengi ya ndege
kuanza kubadilisha vigezo na masharti ya ndege zao.
Delta, JetBlue, American, United, Alaska, US Airways, Southwest
Airlines, and now Virgin America kwa pamoja wamelegeza masharti
kuhusiana na matumizi

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment