Breaking News
recent

Video ya Bila Kukunja Goti kuanza kuonyeshwa katika channel kubwa 4 za muziki Africa

The most awaited video kutoka kwa wakongwe wawili nchini Fa na Ay, "Bila Kukunja Goti" inatarajiwa kutoka siku yoyote kuanzia hivi sasa.
 
 Video hiyo ilifanyika nchini South Africa chini ya kampuni ya Godfather na kwa mujibu wa maelezo ya Ay na Fa, tayari wameshakamilisha process ya kuzisambaza katika vituo vikubwa vya television kama Trace, Mtv Base, Channel O pamoja na Sound City na video hiyo imepitishwa tayari kwa kuchezwa baada ya kuoneka kufikia viwangi vyao.
MwanaFA
Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City...Yes,itaonekana kote huko...‪#‎AfrikaNzima‬...‪#‎GoingPlaces‬...‪#‎KeepingTheGoodMusicAlive‬
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.