Hata kama hakuwa mahakamani na Chris Brown wakati anasomawe mashtaka ya kupiga mtu hivi karibuni, Mpenzi wa muda mrefu wa Chris Brown, Karrueche anapenda ufahamu kuwa uvumi wa yeye na Chris Brown kuachana sio kweli na kwamba bado wapo pamoja.
Picha
hizi alizosambaza Karrueche kwenye Instagram zinaonyesha ukaribu wake
na Chris Brown Kwa sasa na jinsi mapenzi yalivyo kolea.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment