Breaking News
recent

Kuvuja kwa wimbo "Nikifa Kesho" Diamond amlaumu producer

Diamond Platnumz leo hii amefunguka kuhusu kuvuja kwa ngoma yake "Nikifa Kesho"  ambapo amemlaumu producer na inaonekana sababu ni baada ya yeye kuacha kurecord katika studio hiyo.
Bado haijajulikana producer huyo ni nani hasa...endelea kutembelea blog hii utajua
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.