Baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu kutokana na hekaheka za hapa na pale msanii wa bongo fleva anayewakilisha WaChemba M2TheP anakuja na kichupa kipya cha wimbo wake wa ''masambe wena'' aliyowashirikisha Chege na Country boy. Hebu tazama baadhi ya photoz hapa.............
Bongo Forest
Country boy
News
Photoz: The making of music video ''Masambe_wena'' by M2TheP ft Chege & Country boy

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment