Pata fursa ya kuweza kusikiliza ama kudownload track mpya kutoka kwa hitmaker wa 'dear gambe' aliyomshirikisha Belle9 na 'jana na leo' aliyowashirikisha Stamina na Quick Rocka na hapa amewashirikisha Bright (mdogo wake Belle9) na Nemo, ngoma inajulikana kama ''Mrs Superstar''

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment