Breaking News
recent

NEW HIT: Nay wa Mitego (Tru boy) ft Neyba - Salam Zao

Baada ya kutoa "Muziki gani" aliyomshirikisha Diamond na kufanya vizuri sasa Nay wa Mitego a.k.a Tru boy ametoka na ngoma nyingine aliyomshirikisha "Neyba", mkono wa Shedy Clever ndani ya Burn records. Sikiliza na kudownload hapa.........


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.