Official video ya Mwana FA feat Njenje na Mandojo na Domokaya hii hapa.
humo ndani wasanii wameshow love kwenye scene mbali
mbali, Shettah ndani na Ommy Dimpoz nae ameonekana akisalimiana na FA dizaini
kama wamekutana njiani hivi, Lamar pia ndani na
wengineo..nisikuhadithie bana...icheki mwenyewe
No comments:
Post a Comment