Msemaji mkuu wa Antlanta Police alisema mtoto wa Usher Raymond mwenye
miaka mitano alianguka kwenye swimming pool siku ya juma tatu.
A housekeeper was unable to free the child and he was eventually
pulled from the water by two audio-visual subcontractors working at the
house.
Mtoto alikuwa anapumua vizuri wakati huduma ya kwanza ilipowasili. Sasa hivi mtoto wa Usher anaendelea vizuri huku akiwa anapata matibabu kwenye hospitali ya Antlanta.
Mtoto alikuwa anapumua vizuri wakati huduma ya kwanza ilipowasili. Sasa hivi mtoto wa Usher anaendelea vizuri huku akiwa anapata matibabu kwenye hospitali ya Antlanta.
No comments:
Post a Comment