Stamina amepanga kuachia ngoma hiyo tarehe 24 siku ya kumbukumbu kwa Mama yake mzazi ambaye alifariki tarehe kama hiyo.
Stamina kuachia ngoma mpya soon
Msanii wa Hip hop Stamina anatarajia ku- release new single mwezi huu
tarehe 24. The song is titled “Mwambie mwenzio” akishirikishana na mkali
wa Hip hop “Darasa” pamoja na mwanadada "Wada" ambae ni mgeni katika
ulimwengu wa muziki.
No comments:
Post a Comment