Breaking News
recent

Shetta ft Rich Mavoko - Sina Imani (Official Video)

 Ile video ya wimbo wa Shettah ambao wengi wanauita usilete ukimwi nyumbani ila jina lake halisi ni "Sina Imani" imekamilika, mkono wa producer Mesen Selekta akiwa ni Adam Juma (kabla hajaacha kutengeneza video za mziki) kutoka Next Level..


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.