Breaking News
recent

Picha + Video: Zaidi ya watu 70 wapoteza maisha katika ajali mbaya ya treni iliyotokea nchini Hispania

Ajali mbaya ya treni iliyotokea kaskazini magharibi mwa Hospania imesababisha vifo vya watu 77 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa. Ajali imetokea mjini Galicia na treni ilikuwa na abiria 230.

Baadhi ya majeruhi
Majeruhi
Shughuli za uokozi zikiendelea
Na hii ndio video jinsi ajali ilivyotokea

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.