Party haikuishia hapo, Nyandu Toz was also celebrating his birthday
on that day. Wasanii wakali kama Quick Rocka, Izzo Business, Dully,
Young Killer walitoa show kali kwa mashabiki.
Nyandu akiperform
Keki
Nyandu akiwa amepozz na mshkaji
Dully Sykes nae alikuwepo
Hemedy PHD akifanya yake stejini
Izzo Bizness na Quick Rocka wakipagawisha watu
No comments:
Post a Comment