Hii ni track mpya kutoka kwa Spince Madini (Sesseme) akimshirikisha brothermen Dully Sykes, track ikienda kwa jina la "kule" ikiwa imetengenezwa katika studio za Mazuu Records chini ya producer Mazuu.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment