Breaking News
recent

NEW SONG: Stamina ft Darasa & Warda - Mwambie mwenzio

Pata fursa ya kuweza kusikiliza ama kudownload bonge moja la ngoma kutoka kwa Stamina a.k.a Shworebwenz au Supermario akiwa amewashirikisha Darasa na mwanadada Warda. Ngoma imepikwa pale katika studio za One Love Fx chini ya producer Tiddy Hotter


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.