Na huyu ndiye mtoto wa Izzo B
Izzo Bizness ajaaliwa mtoto wa Kike
List ya wasanii/wanahip hop wenye watoto/waliojaaliwa watoto inazidi kuongezeka sasa. Na sasa ni Emmanuel Simwinga a.k.a Izzo B amejaaliwa na m/mungu kupata mtoto wa kike. Hivi karibuni hitmaker wa nyimbo ya "Love me" alionekana amepost picha ya mwanae huyo kwenye Instagram na kuandika "Miss Bizness"
No comments:
Post a Comment