Breaking News
recent

Dr. Jose Chameleon aajilwa mtoto wa kike

Dr Jose Chameleone na mke wake Daniella Atim Mayanja wamepata mtoto wa kike ambaye wame mpa jina la AMMA CHRISTIAN MAYANJA.
Kupitia ukarasa wake wa Facebook, Dr Jose Chameleone alisema anamshukuru mungu kwa kupata mtoto wa kike. Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa facebook

I am thankful for the beautiful family that God has blessed me with. And no matter what you will always come first! We together would like to celebrate the joy from MAYANJA family With you as we welcome our new baby AMMA CHRISTIAN MAYANJA. Our new born baby.
I LOVE YOU Daniella Atim Mayanja. Until death do us apart I got you as a perfect wife, friend and inspiration.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.