Msanii
bora wa Kimataifa kutoka Afrika kwa mujibu wa tuzo za BET 2013, Ice
Price kutoka nchini Nigeria, anatarajia kufanya ngoma ya pamoja na
French Montana kutoka Marekani, Kazi ambayo inatarajiwa kuwa moja ya
hits za ukweli sana hasa ukizingatia uwezo wa wasanii hawa wawili.
Ice Prince na French Montana
Ice
Prince ambaye hivi sasa yupo ziarani nchini Marekani bado hajaweka wazi
taarifa zaidi kuhusu wimbo huo ambao hivi sasa wakali hao wanaufanyia
kazi studio.
No comments:
Post a Comment